.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 17 Aprili 2015

WACHIMBAJI WADOGO 19 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI WILAYANI KAHAMA

Wachimbaji wadodo wadogo 19 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na hivyo kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika kijiji cha Karore, kata ya Runguya, tarafa ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga. 

Kamanda wa polisi mkoani humo, Justus Kamugisha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia leo, na amesema tayari miili yote 19 imeshatolewa kwenye mashimo hayo, lakini jeshi lake bado linaendelea kuangalia kama uhenda kukawa na miili mingine imenasa katika mashimo hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni