Ijumaa, 17 Aprili 2015
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MH. LUKUVI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose wakati balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Lukuvi ofisini kwake kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu uendelezaji wa uendelezaji wa sekta ya ardhi nchini Tanzania.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni