Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya akipata ufafanuzi kutoka kwa Kamishna wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Tiagi Kabisi kuhusiana na kontena hilo lenye biskuti.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya akishuhudia kilichomo ndani ya moja ya makontena mara baada ya kufunguliwa.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiangalia kontena lenye shehena ya vitenge badala ya unga wa gypsum kama nyaraka zilivyoonyesha.
Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. ServaciusLikwelile,Msaidizi wa Waziri Bw. Thomas Mabeba, Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya, Kamishna wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Tiagi Kabisi, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma wakisikiliza kwa makini ufafanuzi wa nyaraka za makontena hayo.
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wa bandari kavu wakihakiki vitenge vilivyotolewa katika makontena.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni