.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 27 Aprili 2015

YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Polisi Moro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. 

Timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam wametwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa msimu wa 2014/2015 baada ya leo kuitanmdika bila huruma timu ya soka ya Polisi Morogoro kwa jumla ya magoli 4-1, katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni