Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza.
Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim,
akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya
siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa
kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa
PSPF, Bi. Flaviana Matata hivi karibuni.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni