.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 2 Mei 2015

DKT BILAL AZIFARIJI FAMILIA ZA MAREHEMU BRIGEDIA JENERAL MSTAAFU HASHIM MBITA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA MAZINGIRA ( NEMC ), NTAKAMULENGA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akitia saini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha ,Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Nyumbani kwa Marehemu Changmbe Jijini Dar es Salaam jana
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwafariji watoto wa Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita alipokwenda Nyumbani kwa Marehemu Changombe Jijini Dar es salaam Jana
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwafariji watoto wa Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita alipokwenda Nyumbani kwa Marehemu Changombe Jijini Dar es salaam Jana aliyekaa Bw Mbita hashim naliyesimama Iddi Hashim Mbita
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib, akitia saini kitabu cha maombolezi cha Marehemu Robert Ntakamulenga aliyekua Mkurugenzi wa Mazingira {NEMC] Nyumbani kwake Kimara Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilali akisalimiana na watoto wa Maerehemu Robert Ntakamulenga aliyekua Mkurugenzi wa Mazingira {NEMC] Nyumbani kwake Kimara Jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni