.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Mei 2015

KARIBU TUJUMUIKE PAMOJA KWA AJILI YA MAREHEMU BABA YETU MPENDWA, PROFESA MTATIFIKOLO

       Marehemu Profesa Mtatifikolo. Kuzaliwa 27/ 06/ 1953 kufariki 10/ 04/2015 

Familia ya marehemu Prof Mtatifikolo wa Dar es Salaam, inapenda kuwakaribisha katika shughuli ya kumaliza msiba wa mpendwa wetu siku ya jumamosi tarehe 23/5/15 nyumbani kwake Mbezi Beach bondeni kabla ya tanki bovu. 

Shughuli itaanza saa kumi jioni, ambapo familia itapenda na inaomba ujumuike nasi katika chakula cha usiku na pia mkesha pamoja, ambapo kutakua na matukio mbalimbali kwa ajili ya kumuenzi baba yetu. 

Kwa wale watakaoweza kukesha nasi, asubuhi tutaamkia kanisan na baada ya misa kutakua na kifungua kinywa nyumbani kwa Prof Mtatifikolo. 

Karibuni sana na tutashukuru kwa uwepo wako.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni