Kesi ya aliyekuwa rais wa Ivory
Coast, Laurent Gbagbo itaanza kusikilizwa mwezi Novemba mwaka huu
katika Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa kwa tuhuma za kuhusika na
ghasi baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Gbagbo, mwenye umri wa miaka 69
ambaye ni mwana historia aliyejitumbukiza katika siasa atapanda
kizimbani ikiwa ni chini ya mwezi mmoja baada ya kufanyika katika
taifa linalojitahidi kujiimarisha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni