Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New
York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu
Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa
(83), kabla ya kwenda Bukoba kwa
mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015 kuanzia Saa: 1pm - 5pm
Address: LEE'S Funeral Home L.L.C160 Fisher AvenueWhite Plains, NY 10606
Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa
Wafia The Luangisa Residence 374 Hawthorne Terrace Mt. Vernon, NY 10552
Mpe taarifa mwenzako wote karibuni.Kwa taarifa zaidi wasikiana na:
Prof. K. Lwiza 1. Prof. K. Lwiza 631-273-3859
2. Dr. Abas Byabusha 914-584-7502
Ukitaka kutoa rambirambi yako unaweza kutumia number hizi hapa chini.
Luangisa na Kwame Luangisa. Bank ni Bank of America. Account# 9504210977. Routing# 021000322. Swift code ni BOFAUS3N.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake la Bwana litukuzwe. Amen!
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni