Wachezaji wa timu ya soka ya Norwich wakifungua champagne kwa furaha ya kufanikiwa kurejea ligi kuu msimu ujao 2015/2016 baada ya kuifunga Middlesbrough hapo jana kwa jumla ya mabao 2-0.
Mabao yaliyoirejesha Norwich ligi kuu England yaliwekwa kimiani na Cameron Jerome pamoja na Nathan Remond.
Katika mchezo huo uliochezwa uwanja wa Wembley, mbali ya kukabidhiwa kombe, pia Norwich wameondoka na jumla ya paundi millioni 130 .
Mashabiki wa Norwich wakiwa na furaha baada ya timu yao kuifunga Middlesbrough mabao 2-0 na kufanikiwa kurejea ligi kuu England msimu ujao.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni