Maeneo aliyotembelea Rais leo ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha.
Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipata
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la Jangwani.






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni