Shirika la Amnesty International
limesema raia nchini Syria katika mji wa pili kwa ukubwa wa Aleppo
wanataabika na mauaji yasiyoelezeka.
Ripoti mpya imedai kuwa vikosi vya
serikali pamoja na makundi mengi ya waasi yanafanya uhalifu huo wa
kivita kila siku.
Wakati ripoti hii ikitoka serikali
ya Syria imeongeza mashambulizi yake katika mji wa Aleppo katika wiki
za hivi karibuni dhidi ya waasi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni