.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Mei 2015

WARSHA YA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIKI WA USAMBAZAJI WA DAWA WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar.
Mfamasia mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki
Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya kielectroniki kutoka Shirika la John Snow Incoparated (JSI) akizungumzia uimarishaji wa mfumo na mafanikio yake kwa washiriki wa warsha hiyo.
Meneja wa Zoni ya Unguja ya mfumo mpya wa usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki Biubwa Khamis (aliesimama) akitoa uzoefu wa usambazaji wa mfumo zamani na huu wa sasa katika warsha hiyo.
Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha ya siku moja ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Mjini Zanzibar.  Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni