.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 7 Mei 2015

WAZIRI MKUU WA ISRAEL BENJAMIN NETANYAHU AMEKUBALI KUNDA SERIKALI YA MSETO

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekubali mpango wa saa 11 wa kuunda serikali ya muungano.

Makubaliano hayo yamekuja baada ya wiki saba kupita tangu chama chake cha Likud kushinda uchaguzi, ikiwa kabla ya muda wa mwisho kuunda utawala wa taifa hilo haujaisha.

Netanyahu anahitaji kuungwa mkono na chama cha mrego wa kulia cha Bayit Yehudi, ili kuweza kumpatia viti 61 vya uongozi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni