.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Mei 2015

WEKUNDU WA MSIMBAZI " SIMBA " WAITANDIKA AZAM FC 2-1

Kikosi cha Azam FC kilichoanza leo.
Kikosi cha Simba.
Waamuzi wa mchezo wa Simba na Azam wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote kabla ya mchezo.
Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akichuana na mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla.
Himid Mao akijaribu kumzuia Said Ndemla wa Simba. Picha zote na Francis Dande
Mshambuliaji wa Simba Said Ndemla akimtoka Himid Mao.
Emmanuel Okwi akichuana na beki wa Azam FC, Aggrey Moris.
Aggrey Moris na akichuana na Emmanuel Okwi.
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
 Raha ya ushindi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni