Balozi Ali Karume akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Nia hiyo aliitangaza katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kati uliopo Dunga Zanzibar.
Balozi Ali Karume akisalimiana na makada wa chamacha Mapinduzi mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya kati Dunga Zanzibar kwa ajili ya kutangaza nia ya kutaka kugombania nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baadhi ya makada walio shirika katika kumuunga mkoko mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaniakatika Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya kati Dunga Zanzibar.
Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi waliofika hapo ili kujuwa lengo lake la kugombea nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania huko Ofisi ya Halmashauri Wilaya ya kati Dunga Zanzibar.
PICHA NA MIZA OTHMAN -HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni