Wateja wakiwa wanajipatia vyakula na vinywaji Brake Point Carnival iliyopo wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Muda wote mchana na usiku kuna vyakula vya aina mbalimbali vilivyoandaliwa katika ubora wa hali ya juu.
Nyama choma ikiwa inaandaliwa ndani ya Brake Point Carnival Kinondoni
Samaki wa kila aina hapa ndio mahali pake





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni