Waziri
Mkuu wa Uingereza David Cameroon ameliambia taifa lake kuwa litarajie kupata
taarifa za vifo vya raia wake wengi, katika tukio la shambulizi kwenye hoteli nchini Tunisa.
Mwanafunzi wa Tunisia
aliyenauhusiano na kundi la Dola ya Kiislam (IS) alitekeleza shambulio hilo la la kutumia silaha na kuua watu 38 katika mji wa Souse.
Waziri
Mkuu wa Tunisia
Habib Essid amesema wengi waliokufa ni raia wa Uingereza
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni