.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 6 Juni 2015

JENGO JIPYA LA SKULI YA MICHAKAINI LAFUNGULIWA RASMI

JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua rasmi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, wakikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli ya Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa kamati ya skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, Nassor Harith akiwa na balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida, wakiitembelea skuli mpya ya ghorofa moja, liliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida, akizungumza nao mara baada ya kulifungua jengo jipya la ghorofa moja skulini hapo lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba). 
WANAFUNZI wa skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida, akizungumza nao mara baada ya kulifungua jengo jipya la ghorofa moja skulini hapo lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya viongozi wa serikali kisiwani Pemba, waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa skuli mpya ya ghorofa moja yenye vyumba saba vya kusomea, iliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa kamati ya elimu skuli ya Michakaini wilaya ya Chake chake akimkabidhi zawadi ya mikoba ya ukili balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida, baada ya kuifungua skuli mpya ghorofa moja iliojengwa na serikali ya Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwahutubia wazazi na walezi, pamoja na wanafunzi wa skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake, mara baada ya kuifungua skuli mpya ya ghorofa moja, iliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wazazi, waalimu na wanafunzi wa skuli ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, mara baada ya balozi wa Japan, nchini Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli hiyo, lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba). Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni