Balozi Sefue akisaini Kitabu cha Wageni katika Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu Balozi Simba Yahya (kushoto) wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Habu Mkwizu alipokuwa akiwaelezea jambo.
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Taasisi zake wakifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu mara baada ya Katibu Mkuu Kiongozi kutembelea Banda la Mambo ya Nje.
Juu na Chini ni Balozi Yahya akihojiwa na Mwandishi wa Habari kutoka TBC kuhusu mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bi. Glory Mboya akisaini Kitabu katika Banda la Maonyesho la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililopo katika maonyesho Utumishi wa Umma Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya akitizama mfano wa Majengo yanayojengwa katika Banda la Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolijia.
Naibu Katibu Mkuu Balozi Simba Yahya akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Wizara na Taasisi zake. Picha na Reginald Philip
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni