.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 3 Juni 2015

KIONGOZI WA KIROHO ADAI WANAWAKE WAVAA JEANS WANASABABISHA MAJANGA

Mwanasiasa na kiongozi wa kiroho wa Pakistani Maulana Fazlur Rehman, ameagiza kufanyika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanawake wavaa jeans na kusema ndio chanzo kikuu cha matetemeko ya ardhi na matukio ya vitendo vya ugaidi.

Rehman, ambaye ni mkuu wa Ulema-e-Islami Fazl (JUI-F) amewatuhumu wanawake wavaa suruali za jeans kwa tukio la ugaidi la Baluchistan pamoja na matukio mengine ya ugaidi kwa mujibu wa chombo cha Indian Express.

Aidha, amesema wanawake wanaovaa suruali za jeans wanachangia kuongezeka kwa mfumuko wa bei pamoja na majanga mengine kama vile mafuriko na matetemeko ya ardhi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni