Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja
wa Mpira wa Ngudu, ambapo alikemea tabia ya wapinzania kuwahadaa vijana
nchini kuwa wakiingia madarakani wataweza kuwatekelezea kila kitu.Aliwataka vijana wa kitanzania
kuacha kabisa kuhadaika na watu wao walio waita waongo, bali wachape
kazi ili kujipatia riziki zao kila siku
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni