Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa Chama Chama Mpinduzi(CCM )nje ya Ofisi ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara baada wakati alipofika kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasha mshumaa kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Butiama baada ya kutembelea makazi ya Mwalimu wakati akiwa mkoni humo kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiweka shahada la maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Butiama baada ya kutembelea makazi ya Mwalimu wakati akiwa mkoni humo kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimsikiliza kwa makini Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Madaraka Nyerere wakati alipotembelea makazi ya Mwalimu, akiwa mkoni humo kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
 |
| Waziri
Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia
mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma, alipowasili uwanja wa
ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle ya kuomba wana
CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania
nurais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba
25, 2015 |
 |
| Lowassa,
(kulia), akiwatuliza wana CCM na wananchi wa Musoma, waliojaribu
kuvunja geti ili walao wapate kugusana naye alipowasili uwanja wa ndege
wa Musoma, Juni 9, 2015, kwa nia yabkuomba wana CCM wamdhamini |
 |
| Wana
CCM na wananchi wa Musoma, wakipiga kelele kumwita Mh. Lowassa, ili
awasogelee kumsalimia huku wakiwa nje ya geti la uwanja wa ndege wa
Musoma |
 |
| Mh.
Lowassa, akiongea na bibi kizee huyu aliyeomba walau amshike mkono ili
kumpa baraka katika safari yake ya matumaini 2015, alipowasili kwenye
ofisi za CCM wilaya ya Bunda, mkoani Mara, Juni 9, 2015 kuomba wana CCM
wamdhamini |
 |
| Mh. Lowassa, akiwasili ofisi za CCM wilaya ya Bunda |
 |
| Mh.
Lowassa, (kushoto), akiwashukuru wana CCM na wananchi waliojitokeza
kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, wengine kwa nia ya kumdhamini na
wengine kumuona |
 |
| Umati wa watu uliofurika kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, huku wengine wakiwa juu ya mti walau wapate kumuona |
 |
| Mh. Lowassa a,kiwasili ofisi za CCM wilaya ya Musoma |
 |
| Mh. Lowassa akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime mkoani Mara |
 |
| Mh. Lowassa mkiwapungia wana CCM na wananchi wengine alipowasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime |
 |
| Msanii huyu yeye aliamua kuja na ritungu huko Rorya wakati Mh. Lowassa a.lipowasili ofisi za CCM wilaya ya Rorya |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni