.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Juni 2015

MBUNGE WA MVOMERO, MH AMOS MAKALLA AWATAKA WANANASHERIA WA WIZARA YA ARDHI KUFIKA JIMBONI KWAKE KUKUTANA NA WANANCHI

                                      Wananchi wakimpongeza mbunge wao, Mh Amos Makalla
 
Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla amewataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka Wizara ya Ardhi kufika haraka Mvomero kukutana na wananchi wa Vijiji vyote ambao ni wadau wa bonde la Mgongolwa ili kutoa Elimu, kutoa tafsiri na kuweka mipaka mipya kufuatia hukumu ya kesi ya muda mrefu iliyotolewa wiki iliyopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni