Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na kuwasisitiza kujiunga na mfuko wa Peisheni wa PSPF.
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Josephat Sylvery Tirumanywa azungumza jambo na madereva wa taxi wakati wa mkutano wao uliofanyika katika shule ya Sekondari ya Tambaza jijini Dar
Madereva wa Taxi wa wilaya ya Ilala wakiuliza maswali kwa Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakati wa mkutano wao
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdalla Mohamed akimtolea ufafanuzi kuhusu faida za mfuko wa PSPF wakati wa mkutano wao uliofanyika katika shule ya Sekondari ya Tambaza jijini Dar
Na Mwandishi Wetu
Madereva taxi katika wilaya ya Ilala jijini dar es salaam wapokea elimu kutoka kwa mfuko wa pensheni wa PSPF na kuweza kujiunga na mfuko huo ili kuhakikisha wanawekeza katika mfuko huo kwa manufaa yao hapo baadae kutokana na kazi zao wanazozifanya kila siku za udereva kuwa ni kazi za kawaida na kuona kuwa Pspf ndio kimbilio kwa madereva hao
Akizungumza wakati wa mkutano huo Afisa masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Ismail Juma amesema wameamua kuungana na madeeva Tax ili kuweza kuwapa elimu katika suala la kuwekeza na kufaidika na mafao mbalimbali yanayo tolewa na PSPF kwani Pindi watakapo jiunga na mfuko huo wataona matunda mengi hasa kutokana na kuwa ni watu ambao wanategemewa na familia hivyo kama Pspf wana mafao ambayo wataweza kujikwamua kama mafao ambayo wanaweza kuwasomesha watoto,vilevile fao la uzazi hata fau la nyumba pia ujiungapo na mfuko huu utafaidika na wala hauto jutia
Mkuu wa kitengo cha elimu wa jeshi la polisi,kikosi cha usalama barabarani makao makuu , Abel Swai wakati akitoa elimu ya usalama barabarani amewaasa madereva wote nchini hususani kwa madereva walio weza kufika katika mkutano huo wa madereva tax kuweza kuwekeza katika mifuko ya jamii ni jambo muhimu hasa ukizingatia kwa hali ya sasa maisha kuwa ya kawaida na uchumi wanchi yetu kuporomoka amewaomba madereva kutumia fursa zinazo tolewa na mfuko wa pensheni wa PSPF ili wawe na akiba ya mafao yao pindi kazi zinapo isha na hata kuweza kufaidika na mambo mbalimbali katika mfuko huo
Pia mkaguzi msaidizi wa polisi kanda maalumu ya dare s salaam Josephat Sylvery Tirumanywa amewasisitiza madereva kutii sheria za barabarani maana wamepewa dhamana ya kuwasafirisha abiria kwa amani na upendo ,hivyo kati ya jeshi la polisi na madereva husaidiana kufanya kazi kwa umoja na hivyo kuweka mahusiano mazuri katika kufanikisha nchi yetu iajengwa na sisi watanzania kwa kuendeleza upendo na amani pindi tuwapo barabarani,aliongeza kuwapa shukrani mfuko wa pensheni wa Pspf kwa hatua ya kuwahamasisha watu mbalimbali kuweza kujiunga na mfuko huo ili kuhakikisha mabadiliko ya wananhi mbalimbali yanatokea kimaisha ,elimu,afya na mengine mengi.
Miongoni mwa madereva waliohudhuria katika mkutano huo wameupongeza mfuko wa pesheni wa PSPF kwa kuweza kuwajali kwa kuwapa elimu juu ya mfuko huo pia wameahidi kushiriki vilivyo katika kujiunga na mfuko huo ili kuhakikisha maisha yao yanaenda sambamba na hadhi ya jina na ubora wa kazi zinazofanywa na PSPF,
”kwani tumeiona fursa kutoka PSPF hivyo hatuna budi kujiunga na mfuko huu kwani fursa ni kuthubutu,kuhiari, kutendana kuamua na uamuzi tulio uchukua ni kujiunga na PSPF kwa manufaa ya kwetu pia ya taifa kwa ujumla “pia wawasisitiza kuendelea kueneza elimu katika mkoa wa dar es salaam wote na hata nje ya mkoa ili watu watambue fursa zinazo tolewa na PSPF.
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akilakiwa kwafuraha na Mbunge wa Jimbo la Sengerema,
ambaye pia ni mmoja wa wana CCM waliochukua fomu ya kuomba kuwania
urais ndani ya chama hicho, William Ngeleja alipowasili katika Kata ya
Nyamadoke, Jimbo la Buchosa,, wilayani Sengerema, kuanza ziara rasmi
katika majimbo yote ya Mkoa wa Mwanza leo.
Komredi Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye, ameanza ziara mkoani Mwanza, baada ya kumaliza
ziara katika mikoa ya Kagera na jana Mkoa wa Geita.
Akiwa mkoani Mwanza atafanya kazi ya kuimarisha uhai wa chama,
kusimamia, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na
kusilikiza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. PICHA ZOTE NA
RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge
wa Jimbo la Sengerema, ambaye pia ni mmoja wa wana CCM waliochukua fomu
ya kuomba kuwanua urais ndani ya chama hicho, William Ngeleja,
alipowasili wilayani Sengerema.
Chipukizi wa CCM, akimvisha skafu Komredi Kinana wakati wa mapokezi
katika Kata ya Nyamadoke, wilayani Sengerema leo.
Komredi Kinana (kulia) akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya katika
Kata ya Nyehunge Kijiji cha Isaka, Jimbo la Buchosa, wilayaniSengerema,
Mwanza leo.
Komredi Kinana akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Bupandwa,
Jimbo la Buchosa.
Komredi Kinana akinunua ndizi na kuzigawa kwa walio kwenye msafara wake
wakati wa mkutano uliofanyika katika Kijiji Bupandwa.
Akinana mama wakishangilia kwa furaha walipokuwa wakimlaki Komredi
Kinana ana msafara wake katika Kijiji cha Katwe, ambapo Komredi Kinana
aliweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya CCM Tawi la Katwe,
katika Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema.
Komredi Kinana akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la
msingi katika Jengo la Ofisi ya CCM Tawi la Katwe/
Komredi Kinana akizungumza na wananchi baada ya kukagua mradi wa maji
katika Kijiji cha Rumeya, Buchosa Wilayani Sengerema.
Jengo lenye mashine za kusukuma maji katika Kijiji cha Rumeya, Buchosa,
wilayani Sengerema.
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Charles Tizeba akishngiliwa na wananchi
alipowasili na Komredi Kinana katika Kijiji cha Nyakarilo, jimboni
Buchosa.
Komredi Kinana akihutubia katika Kijiji cha Nyakarilo, Jimbo la
Buchosa, Sengerema.
Wananchi wakiwa na furaha walipokuwa wakimlaki Komredi Kinana
alipowasili kuzindua mradi wa maji katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya
Nyehunge, jimboni Buchosa.
Komredi Kinana akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa
maji katika Kijiji vhsa Kalebezo, Kata ya Nyehunge, Jimbo la Buchosa.
Komredi Kinana akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa akinana mama wa Kijiji
cha Kalebezo, Kata ya Nyehunge, Buchosa baada ya kuzindua mradi wa maji.
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi,
Charles Tizeba, akielezea miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa
katika jimbo la Buchosa wakati wa mkutano uliofanyika katika Kata ya
Nyehunge, wilayani Sengerema.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika
mkutano wa hadhara katika Kata ya Nyehunge, Jimbo la Buchosa, wilayani
Sengerama, Mwanza.
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM katika
Kata ya Nyehunge, Jimbo la Buchosa.
Komredi Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Nyehunge,
Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerama leo, ambapo aliitaka serikali na
Halmashauri ya Sengerema kupunguza kwa kiasi kikubwa ushuru uliokithiri
wanaotozwa wavuvi.
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti wakiwa na hamu ya kusikiliza
hotuba ya Komredi Kinana wakati wa mkutano huo.
Komredfi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya
Nyehunge, Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema leo, ambapo aliitaka
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kuacha
ya kuwanyanyasa wavuvi na hasa wanaotumia nyavu ndogo kuvua samaki, bali
wawaadhibu wanaoagiza kutoka nje na wanaouza nchini.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwafuraha na Mbunge wa
Jimbo la Sengerema, ambaye pia ni mmoja wa wana CCM waliochukua fomu
ya kuomba kuwania urais ndani ya chama hicho, William Ngeleja
alipowasili katika Kata ya Nyamadoke, Jimbo la Buchosa,, wilayani
Sengerema, kuanza ziara rasmi katika majimbo yote ya Mkoa wa Mwanza leo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni