.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 24 Juni 2015

MKE WA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, MAMA ASHA SULEIMAN IDDI AKABIDHI MISAADA KWA VIKUNDI VYA USHIRIKA VYA AKINA MAMA PEMBA

MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa wanavikundi vya Mtambwe kaskazini Kisiwani Pemba, mara baada ya kuwakabidhi zawadi mbali mbali kwa wanavikundi hao ikiwemo vyarani, vitambaa na fedha taslim.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akipokea zawadi ya mkungu wa ndizi kutoka kwa wanavikundi vya Mtambwe kaskazini Kisiwani Pemba, mara baada ya kuwakabidhi zawadi mbali mbali kwa wanavikundi hao ikiwemo vyarani, vitambaa na fedha taslim.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akizungumza na wananchi wa Mtambwe kisiwani Pemba, kabla ya kuwakabidhi zawadi mbali mbali kwa ajili ya vikundi vya ushirika vya akinamama.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akimkabidhi shilingi laki nne (400,000/=) kiongozi wa kikundi cha Ridhaa cha kivumoni jimbo la Mtambwe kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANAKIKUNDI cha Umoja ni nguvu Chekea Jimbo la Mtambwe, wakibeba charahani yao waliopatiwa msaada na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi ikiwa ni ahadi aliyoiweka wakati alipotembelea Mtambwe miezi michahe iliyopita.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akiwakabidhi vitambaa wanakikundi cha Masikini Hachoki cha Kinazini Mtambwe kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akiwakabidhi charahani wanakikundi cha Masikini Hachoki cha Kinazini Mtambwe kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni