.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Juni 2015

PICHA ZA KUTISHA ZAONYESHA NAMNA WAHAMIAJI HARAMU WALIOZAMA WAKIJARIBU KUOKOA MAISHA

Picha hizi zinazoonyesha hali ya taharuki na kutisha wakati wahamiaji haramu wakining'inia kwenye boti lililozama ili kunusuru maisha yao katika safari ya kukatiza bahari ya Mediterranean.

Wahamiaji haramu zaidi ya 450 kutoka Afrika ambao hukatiza kutafuta maisha katika nchi za Ulaya, waliokuwa wamejaa katika boti hilo la uvuvi, ambalo lilizama maili 20 kutoka pwani ya kaskazini ya Libya.
                                     Hali ni tete wahamiaji wakijaribu kuokoa maisha yao 
                                        Katika tukio hilo kuna wengine waliopoteza maisha

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni