Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakifurahia samani katika banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015.
PICHA NA IKULU










Hakuna maoni :
Chapisha Maoni