.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 26 Juni 2015

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 40 YA UHURU WA MSUMBIJI

mail.google.com
Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25 June mwaka 1975 kutoka kwa mkoloni Mreno.
m
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiukagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya kuwasili jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 ya uhuru wa Msumbiji zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Machava jijini Maputo. (Picha na Freddy Maro)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni