.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 15 Juni 2015

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 25 WA KAWAIDA WA UMOJA WA AFRIKA JIJINI JOHANNESBURG LEO

2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongzi wengine wa Umoja wa Afrika wakiimba wimbo wa umoja huo katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida leo June 14, 2015
3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Dkt.MwinyihajiMakame Mwadini na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi anachama wa Umoja wa Afrika leo June 14, 2015
4
Wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi anachama wa Umoja wa Afrika leo June 14, 2015. PICHA ZOTE NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni