.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Juni 2015

RAMADHANI NJEMA KWA WAISLAMU WOTE

Uongozi wa rweyunga blog unawatakia waislamu wote nchini mfungo mwema wa Ramadhani, na ni matumaini yetu swaum na dua zenu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani zitaleta maendeleo katika ukuaji wa imani, utulivu wa kiroho na kuwasogeza karibu na Allah.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni