.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Juni 2015

RATIBA YA BARCLAYS PREMIER LEAGUE HADHARANI, KUANZA KUTIMUA VUMBI AUGUST 08' 2015

                                                Mabingwa wa ligi kuu England 2014/2015, Cheslea

Shirikisho la soka nchini England ( FA ) limetoa ratiba ya msimu mpya wa ligi kuu nchini humo ambayo imepangwa kuanza kutimua vumbi August 08' 2015 katika viwanja kumi tofauti. 

Mabingwa watetezi wa kombe hilo matajiri wa London, Chelsea watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Swansea City. Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:-

Bournemouth vs Aston Villa

Arsenal vs West Ham United

Chelsea vs Swansea City

Everton vs Watford

Leicester City vs Sunderland

Manchester United vs Tottenham Hotspur

Newcastle United vs Southampton

Norwich City vs Crystal Palace

Stoke City vs Liverpool

West Bromwich Albion vs Manchester City

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni