.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 24 Juni 2015
SACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA BODI.
Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.
Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO).
Meneja mkuu wa Chama cha Akiba na Mikopo cha walimu wilaya ya Moshi Vijijini,Bosco Simba akizungumza wakatiwamkutano huo.
Baadhi ya wanachama wa Saccos hiyo ambao ni walimu wanaofanya kazi wilaya ya Moshi vijijini.
Afisa Ushirika wilaya ya Moshi vijini Fausta Malulya akizungumza katika mkutano huo wa uchaguzi.
Mmoja wa wanachama wa Saccos hiyo akiomba ufafanuzi wa jambo fulani wakati wa mkutano huo wa uchaguzi.
Baadhi ya wanachama waliojitokeza kuomba nafasi ya kuwania kuwa wajumbe wa Bodi ya Saccos hiyo wakiwa wameshika karatasi zeneye majina yao.
Wagombea wakijaribu kupita kwa wanachama kuomba kura.
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti huku Kilasela Ngalauo akifanikiwa kushinda nafasi ya makamu mwenyekiti.Wengine waliochaguli wa ni Chritina Lyamuya,January Malulya,Marcelina Kyara,Robert Shauri na Robert Materu.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni