.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 15 Juni 2015

SHEIKH MKUU WA TANZANIA, MUFTI SHAABAN ISSA BIN SIMBA AFARIKI DUNIA

                                        Sheikh mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Issa Bin Simba

Taarifa zilizoifikia Rweyunga Blog zinasema Sheikh mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Issa Bin Simba amefariki dunia leo asubuhi. 

Akitoa taarifa za kifo cha Mufti, Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum amesema Mufti Shaaban Bin Simba amefariki leo asubuhi katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa toka juzi akipatiwa matibabu.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni