.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Juni 2015

TAIFA STARS YAWASILI VISIWANI ZANZIBAR

Kocha wa Timu ya Taifa Stars alipowasili bandarini Zanzibar pamoja na Timu ya taifa Taifa Stars
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars walipowasili bandarini Zanzibar wakisubiri usafiri kuwapeleka hotelini
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili visiwani Zanzibar leo tayari kwa mchezo dhidi ya Uganda Jumamosi Uwanja wa Amaan, kuwania kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), michuano inayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao peke
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakipanda basi dogo lililoandaliwa kwa ajili ya timu. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni