Meneja wa Fedha na Utawala wa Taasisi ya ACE Afrika, Bw. Oswald
Mwita, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya
kupokea mfano wa hundi ya Dola 24,000 za Marekani zilizotolewa
na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa ajili ya kuongeza tija kwa
wakulima wa mbogamboga katika mikoa ya Arusha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni