Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa.
Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini.
Si mwingine ni Maggid Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni.
Ni kila siku ya Ijumaa saa 4 usiku na marudio Jumapili saa kumi jioni, hapa hapa TBC 1, ukweli na uhakika!
"https://www.youtube.com/embed/QgbxA42ntt8"
"https://www.youtube.com/embed/QgbxA42ntt8"
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni