Jumamosi, 6 Juni 2015
WAALIMU WA VYUO MBALIMBALI PEMBA WAPATA MAFUNZO YA NAMNA YA KUANDAA MITIHANI KISASA
WASHIRIKI ambao ni waalimu wa vyuo mbali mbali kisiwani Pemba, kikiwemo chuo cha amali Vitongoji Chakechake, wakimsikiliza Afisa wa mafunzo ya amali Pemba, mwalimu Othman Zaidi Othman wakati akielezea umuhimu wa mafunzo kwa waalimu hao, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa njia ya kisasa (picha na Haji Nassor, Pemba)
AFISA wa mafunzo ya amali Pemba, mwalimu Othman Zaidi Othman, wakati akielezea umuhimu wa mafunzo kwa waalimu wa vyuo mbali mbali kikiwemo cha mafunzo ya amali Pemba, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa njia ya kisasa na utoaji matokeo (picha na Haji Nassor, Pemba)
MRATIBU wa Mamlaka ya mafunzo ya amali Pemba mwalimu Juma Suleiman, akimkabidhi mmoja wa waalimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza mafunzo yao ya siku kumi ya kuwapa mbinu waalimu ya usomeshaji na utungaji mitihani kitaalamu (picha na Haji Nassor, Pemba)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni