.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 24 Juni 2015

WALINDA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wanatuhumiwa kufanya vitendo vya udalilishaji wa kingono kwa watoto wa mitaani mjini Bangui.

Bw. Stephane Dujarric amesema ujumbe wa Umoja wa Mataifa mjini Bagui imepewa taarifa za tuhuma hizo, na umeanzisha uchunguzi.

Haijaelezwa wazi walinzi hao wa Umoja wa Mataifa waliofanya ukatili huo wa kingono dhidi ya watoto wanatokea katika taifa gani la Afrika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni