.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 27 Julai 2015

BOBBY BROWN ATOKWA NA MACHOZI MFULULIZO KUFUATIA KIFO CHA MWANAE

Majonzi!! Baba mzazi wa Bobbi Kristina Brown, Bobby Brown ( mwenye kofia nyekundu ) akiwa katika majonzi makubwa baada ya kufiwa na mtoto wake Bobbi Kristina jana jumapili. 

Binti huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 22, na amekuwa katika hali ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya miezi sita, tangu alipokutwa akiwa ameanguka bafuni na kukimbizwa hospitali Janurary 31' 2015. 

Alikuwa mtoto wa wanamuziki mahiri Whitney Houston ambaye amefariki dunia na baba yake ni Bobby Brown.
WOTE HATUNAO!! Whitney Houston na mwanae Bobbi Kristina Brown wakiwa katika picha ya pamoja enzi za uhai wao. Whitney alifariki dunia miaka mitatu iliyopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni