Mchezaji wa Kilimani akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika uwanja wa Malindi Mnazi Mmoja timu ya Mkunazini imeshinda 2--0 Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazi wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja, timu ya Mkunazini imeshinda 2--0. Wapenzi wa mchezo wa Soka Zenj wakifuatilia Bonaza hilo linalofanyika viwabnja vya malindi mnazi mmoja
Mchezaji wa timu ya Mkunazini akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazi wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja, timu ya Mkunazini imeshinda 2--0.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni