.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 4 Julai 2015

DK. SHEIN AFUTARISHA WANANCHI WA KIJIJI CHA MKANYAGENI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba Bw.Hemed Suleiman wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba Bi Hanuna Ibrahim Masoud wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na Sheikh Chumu Salim kabla ya futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni
Akinamama wa Vijiji tofauti vya Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni
Wananchi na Waislamu wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katikaviwanja vya Skuli ya Mkanyageni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa baada ya kufutari pamoja na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kushoto) akiagana na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha kwa Wananchi wa kijiji hicho jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni