Waingereza wamejikuta katika wakati
mgumu hii leo wakati wakienda makazini kutokana na joto kali lililopo
hivi sasa nchini humo, huku maafisa wakiwasihi watu kukaa ndani ya
nyumba wakati joto likitarajiwa kufikia nyuzi joto 36.
Vipimo vya joto vilivyofanywa jana
Uingereza na Wales, vilionyesha kuendelea kuwepo hali mbaya ya hewa
ya joto baada ya jana nchi hizo kuwa na joto linalofikia kipimo cha
nyuzi joto 30.
Watu wakijisogeza kupata upepo katika feni kubwa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni