Jumatatu, 6 Julai 2015
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 125 YA KANISA LA KKKT MJINI TANGA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo.
Kukindi cha Matarumbeta kikitumhuza wakati wa maadhimisho hayo.
Ibada ya maadhimisho hayo ikiendelea wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo( Picha na Freddy Maro)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni