.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 6 Julai 2015

TANZANIA KUWA NCHI YA HESHIMA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA UBELIGIJI APRILI 2016

Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Taasisi ya Afrika Rise baada ya kikao kilichofanyaka Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji kuwasilisha taarifa za Tanzania kuteuliwa kuwa Nchi ya Heshima katika Kongamano la Biashara Kati ya Afrika na Ubeligiji litakalofanyika Aprili 2016. Makampuni zaidi ya 1000 kutoka Taanzania, Ubeligiji, Luxembourg, Afrika, Canada, Switzerland na Dubai yanatarajiwa kushiriki katika Kongamano hilo litakalofanyika Ubeligiji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni