.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 28 Julai 2015
WAJASILIAMALI 150 WAPATIWA MAFUNZO MOSHI.
Baadhi ya Wawezeshaji katika mafunzo yaWajasiliamali 150 yanayofanyika katika chuo cha Ufundi Veta mkoa wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki na Kusinin(ESAURP) Prof,Ted Maliyamkono akzungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wajasiliamali wadogo wa mkoa wa Kilimanjaro yanayofanyika katika chuo cha VETA Moshi.
Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya fedha ya FSDT ,Erick Masinda akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Lembris Kipuyo akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yenye lengo la kuwawezesha kurasimisha biashara zo ili wapate mkopo na kukuza Biashara.
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo.
Badhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano.
Baadhi ya wajasiliamali hao.
Prof Maliyamkono akitoa neno la Shukrani.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo,wakiwa katika picha ya Pamoja na mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Rombo Lembris Kipuyo.
DC Kipuyo akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mafunzo hayo.
DC Kipuyo akifanya mahojiano na mmoja wa wanahabari .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni