.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 3 Julai 2015

WAVUVI TUMBE WAGOMA KULITUMIA SOKO JIPYA LA SAMAKI NA MBOGAMBOGA

WAVUVI ambao walitarajiwa kuanza kulitumia soko jipya ya samaki na mboga mboga la Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, kuanzia Julai 1 mwaka huu, wakiendelea na shughuli zao kama kawaida ufukweni wakiwa na mgomo kwa miezi mitano sasa, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
BAADHI ya wananchi wakimalizia kugawana samaki wao, baada ya kununua nje ya soko la Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, licha ya wavuvi kutakiwa kuhamia ndani ya soko lao jipya, kuanzia Julai 1 mwaka huu, huku wakiendelea na mgomo wao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MVUVI wa kijiji cha Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, Ali Rajabu akizungumza na waandishi habari juu ya msimamo wao kutolitumia soko jipya la kijiji chao, mapaka madai yao ya mgao yawekwe sawa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAVUVI wakiwa wameweka meza zao ufukweni wakiendelea na kuuza samaki kama kawaida, licha ya kuwepo kwa amri ya kuhamia katika soko jipya, ambapo wamesema hatohamia hadi madai yao ya mgao w amapato uwekwe sawa, (Picha na Haji Nassor, Pemba). Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni