.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 15 Agosti 2015

KATIBU MKUU OMKR AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA TIBA NA MAREKEBISHO YA TABIA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dr Omar Dadi Shajak akipata maelezo ya ujenzi wa Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kwa wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dr Omar Dadi Shajak aliyevaa kaunda suti akiwa na baadhi ya watendaji wa ofisi hiyo akikagua ujenzi wa Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kwa wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja.
Jengo la Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kwa wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja likiendelea kujengwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni