Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha zote na Bashir Nkoromo).Alhamisi, 13 Agosti 2015
KIKAO CHA NEC CCM CHAENDELEA LEO AGOSTI 13, 2015, MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)








Hakuna maoni :
Chapisha Maoni