Liverpool ikicheza ugenini imeanza vyema ligi kuu nchini England baada ya kushuhudia ikipata pointi 3 baada ya kuifunga Stoke City bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa ligi hiyo iliyoanza rasmi kutimua vumbi jumamosi ya tarehe 08'08'2015.
Katika mchezo huo uliochezwa jana, bao la Liverpool liliwekwa kimiani na Philippe Coutinho katika dakika ya 86 ya mchezo huo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni